JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania yashika ukurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika

Na. Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi. Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa Afrika Mashariki katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuanzia mwezi Agosti, 2024. Katibu Mkuu…

Si majanga yote ya moto majumbani yanasababishwa na umeme wa TANESCO

đź“ŚMatumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo đź“Ś*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora đź“ŚMatumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo cha majanga ya…

Vifurushi vya bima ya afya Najali, Timiza mbadala wa Toto Afya Kadi

Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Mfumo wa kulipia Bima za watoto kupitia Toto Afya Kadi umebadilika na kwa sasa unafanyika kupitia utaratibu wa shule na vifurushi vya bima ya afya vya najali, Wekeza na…

Bilioni 1.7 zawatua akina mama ndoo vichwani Magu

Na Baltazar Mashaka, JamhuriMedia, Magu WANANCHI wa Vijiji Bugando, Nyashigwe,Chabula na Kongolo wilayani Magu,wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Serikali ya Awamu ya Sita,kukamilisha mradi wa Maji Chabula-Bugando kwa gharama ya sh. bilioni 1.78. …

Serikali yazungumzia udhibiti magonjwa ambukizi

 SERIKALI imesema Kampeni ya Mtu ni Afya iliyozinduliwa mapema mwezi huu itasaidia udhibiti wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 27, 2024 na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa…

Utalii wa kimafunzo washika kasi, wanafunzi Chuo cha Quinnipiac nchini Marekani wawasili nchini

Na Mwandishi Maalum Timu ya Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Quinnipiac chini Marekani wakiambata na Maprofesa wao, wamewasili nchini kupata uzoefu na elimu juu ya uhifadhi na namna tafiti zinavyosaidia uhifadhi wa Maliasili. Ziara yao itaambatana na kutembelea hifadhi za…