JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sendeka awaonya vijana kutojiingiza kwenye uhaini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, amewaonya vijana nchini kutojiingiza kwenye uhaini na pia wasiunge mkono maandamano ya kupinga Serikali kupitia mitandao ya kijamii. Ole Sendeka akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani wa…

RC Kunenge ameziagiza Halmashauri kuandaa mikakati itakayosadia kuongeza mapato

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge amezielekeza Halmashauri za mkoa huo kuandaa mikakati thabiti itakayoziwezesha kuongeza ukusanyaji mapato ili kuisaidia serikali kutoa huduma bora kwa wananchi wake. Kunenge ameyasema hayo kwenye kikao kazi maalum kilichofanyika…

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan…

Wakulima wa mahindi Ruvuma waiomba Serikali kupanga bei maalumu ya zao hilo

Na Cresensia Kapinga,Namtumbo. Wakulima wa zao la mahindi mkoani Ruvuma wameiomba Serikali ione umuhimu wa kuweka bei ya zao hilo ambayo inafafana na gharama ya uzalishaji tofauti na hivi sasa kilo moja ya mahindi wakala wa hifadhi ya chakula kanda…