Category: Habari Mpya
Global Education Link yaomba Visa kwa wanafunzi kwenda China ziharakishwe
Mkurugenzi wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha maalum kwa wanafunzi wanaoomba visa kwenda kusoma nchini humo. Mollel amesema kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa…
MNEC Jumaa akemea misuguano ndani ya chama
Na Mwamvua Mwinyi, JahuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ,CCM (MNEC) kupitia Wazazi ,Hamoud Jumaa ameeleza nguzo pekee ya ushindi katika uchaguzi wa Serikali ya Mitaa 2024 pamoja na uchaguzi Mkuu 2025 ,ni wanaCCM kudumisha umoja na mshikamano pasipo…
Rais Samia aridhishwa na mabadiliko MSD
RAIS Dk. Samia Dk Samia Suluhu Hassan ameridhishwa na mabadiliko yanayoendelea Bohari ya Dawa ( MSD) na kuwataka waendeleee kuchapa kazi. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi Agosti 19, 2023 mkoani Arusha wakati akifungua kikao kazi cha wenyeviti wa bodi…
STAMICO yang’ara, yabeba tuzo mbili
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti na Watendaji wa Mashirika ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika Taasisi za umma zilizofanya mabadiliko makubwa ya kiutendaji na yenye tija kwa mwaka 2023. (Turn…
Askari Polisi wawafariji wagonjwa Hospitali Kuu ya Jeshi
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha afya kimesema jeshi hilo linatoa huduma za kiafya kwa wananchi na askari pamoja na familia za askari wa maeneo tofauti tofauti licha ya kazi…