JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Lyidenge ataka wafanyakazi wa miradi kuwa na nidhamu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chalinze, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Sophia Lyidenge amewataka wafanyakazi wa mradi wa umeme wa serikali kuwa na nidhamu na kutokujihusisha na vitendo vya kihalifu. Amebainisha hayo leo Agosti 20 alipotembelea mradi…

Rc Chalamila: Wananchi wahamasishwe utekelezaji afua za lishe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kikao cha tathimini ya utekelezaji wa viashiria vya mkataba wa Lishe kwa Kipindi cha Julai 2022 hadi Juni 2023 katika ukumbi wa…

Hakuna kilichosimama miradi ya maendeleo Ushetu

Na Mathias Canal, Ushetu-Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati….

Rais Dkt. Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya

 lRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru…

Balozi Shelukindo akutana kwa mazungumzo na katibu Mkuu Indonesia

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia Cecep Herawan katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam…

Aliyeua watu 77 aomba kuhukumiwa kifungo cha nje

Muuaji wa mauaji ya raia wa Norway Anders Behring Breivik anaishtaki serikali kwa madai ya kukiuka haki zake za binadamu kutokana na wimbo katika karantini “kubwa”, na amewasilisha ombi nyingine la msamaha, wakili wake alisema. Breivik aliua watu 77, wengi…