JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Mhagama ahimiza mashirikiano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ), Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Ufutiliaji na Tathimini ya Utendaji wa Shughuli za Serikali kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa…

Dkt. Tax akutana kwa mazungumzo na balozi wa Comoro

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar…

Miaka 59 ya uhusiano wa Tanzania na Indonesia yaimarisha uchumi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO INAELEZWA kuwa chimbuko la uhusiano kati ya Tanzania na Indonesia ni Mkutano wa Bandung uliofanyika mwaka 1955 ambapo nchi nyingi za Afrika na Asia zilikuwa katika utawala wa kikoloni kwa kipindi hicho. Kupitia Mkutano huo…

RC Mbeya awataka wananchi kuona umuhimu wa kutunza mazingira Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amesema kuwa shirika lisilo la kiserikali la Site Trust Foundation lipo kwa ajili ya kuwahudumia wananchi katika sekta ya afya ,elimu, maji, michezo na mazingira katika jamii kwa…

RPC Pwani:Madereva wavunja sheria kudhibitiwa Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishina Msaidizi wa Polisi, Pius Lutumo amewaasa, askari wa Polisi Chalinze kutokuwa na muhali kwa madereva wanaokiuka Sheria za usalama barabarani. Akiwa katika siku ya pili ya ziara ya ukaguzi…