JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Migodi mikubwa yenye ubia na Serikali yachangia trilioni 1.53 hadi Juni, 2023

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa hadi kufikia Juni, 2023 miradi ya…

Watakiwa kutumia kalamu zao kuelimisha jamii

Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi Nchini wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri ili kuwaelimisha Wananchi mbinu mbalimbali za kubaini na kutanzua uhalifu hapa Nchini. Hayo yamesemwa Agosti 21, 2023 Jijini Mwanza na Msemaji wa…

BoT yatahadharisha wanaoshikilia dola

Banki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tahadhari kwa raia wanaoshikilia pesa za kigeni hususani dola ya Marekani kuwa wapo katika hatari ya kupata hasara kubwa kutokana na uamuzi wao huo wa kuficha pesa hizo wakitegemea kupata faida katika soko la…

Nondo 10 za RC Chalamila kwa wakazi wa Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa ufafanuzi wa mambo 10 muhimu kwa mstakabali wa maendeleo na ustawi wa jamii katika Mkoa huo na Taifa kwa Ujumla. RC Chalamila akiongea na Waandishi…