JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk Mpango awataka Ma-RC,RAS kufuata maadili na nidhamu ya kazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu cha wageni wakati alipowasili katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere – Kibaha Mkoani Pwani kufungua Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa…

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 30 wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika kuadhimisha miaka 59 ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ). Huu…

Mchengerwa azindua bodi za TTB na TANAPA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mchengerwa ameitaka Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kwenda kuondoa utendaji wa mazoea ili kuweka misingi ambayo itaifanya Tanzania kuwa namba moja Afrika na dunia katika…