Category: Habari Mpya
Wagombea 58 wateuliwa kuwania ubunge, udiwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi ya Ubunge kwenye Jimbo la Mbarali lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kata sita za…
RC Tellack: Lindi siyo maskini
Na Mwandishi wetu, Ruangwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Tellak amesema eneo hilo lina fursa nyingi za uwekezaji na utajiri mkubwa wa madini mbalimbali isipokuwa madini ya Tanzanite na Almas pekee. Tellak akizungumza mjini Ruangwa kwenye ufunguzi wa maonyesho…
Jafo: Tumeendelea kupata mafanikio makubwa kupitia muungano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema mafanikio makubwa ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi yameendelea kupatikana kufuatia kupatikana kwa ufumbuzi wa hoja za Muungano katika vikao…
DC Ubungo azitaka shule kuweka mifumo madhubuti ya usalama wa wanafunzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye elimu na kutengeneza nafasi za ajira. Ametoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki…