Category: Habari Mpya
Baadhi ya wakazi Tumbi, Kibaha waililia DAWASA
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Baadhi ya wakazi wa eneo la Shirika la Elimu Kibaha ,Tumbi wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji takriban miezi mitano, hali ambayo inasababisha kununua dumu la maji kwa sh.500 kwa kusafirisha na pikipiki. Kutokana na…
TMA yatoa mwelekeo wa mvua za Vuli juu ya wastani hadi wastani
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa Mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga,…
Chalinze yapokea gari la zimamoto
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Halmashauri ya Chalinze , mkoani Pwani imepokea gari la Zimamoto na Uokoaji litakalosaidia wakati yanapotokea majanga ,kutoka kwa Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ( SSF) Jenifa Shirima. Akiongea kwa niaba ya wananchi wa…
Chana: Kiswahili ni bidhaa inayoitangazaTanzania
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mussa Sima amepongeza Mkakati uliopo wa Kutangaza na kubidhaisha lugha ya Kiswahili Kimataifa. Akiwasilisha mkakati huo wa kutangaza Kiswahili Kimataifa kwenye kamati hiyo leo Agosti…