Category: Habari Mpya
JWTZ yatoa siku saba wenye mavazi au sare zinazofanana na jeshi kuziwasilisha haraka
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa siku saba kwa wananchi wote ambao wana nguo ama mavazi ya kijeshi,kuyawasilisha katika Makambi ya Jeshi,Vituo vya Polisi au katika Ofisi za Serikali za Mitaa na…
Msalato Satelite City kuwa mji wa mfano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema mradi wa Kupanga na Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo la Kitelela mkoani Dodoma maarufu kama Msalato Satelite City utakuwa wa mfano kwa…
Wakazi Biharamulo wanunua maji wilaya jirani ya Ngara
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Biharamulo Imeelezwa kuwa baadhi ya wakazi wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wanalazimika kufuata maji safi na salama kwenye wilaya jirani ya Ngara huku wakinunua ndoo moja yenye ujazo wa lita 20 kwa shilingi 2,000 kutokana…
e-GA yatambulisha mfumo wa kukusanya, kuchakata kesi jinai
Na Dotto Kwilasa, JamburiMedia, Dodoma Ofisi ya Taifa ya Mashtaka(DPP) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imezindua mfumo wa kielektroniki wa kukusanya , kuchakata na kutunza Kumbukumbu za kesi jinai utakaoimarisha utendaji kazi. Akizindua Mfumo huo jijini Dodoma,…
TPC, HESLB waingia makubaliano kurahisisha huduma kwa waombaji mikopo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Shirika la Posta Tanzania (TPC), limesaini makubaliano na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) ili kurahisisha huduma kwa waombaji wa mikopo kupata unafuu na usaidizi pindi wanapoomba mikopo yao hasa kipindi hiki dirisha…