JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

KKKT wamrejesha tena askofu Malasusa

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) , umemchagua kwa kishindo askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Drk Alex Malasusa kuwa mkuu mteule mpya wa KKKT kupokea nafasi ya Askofu Dk Frederick…

Serikali yaonya wanaotumia makao ya watoto kujinufaisha

Na Raymond Mushumbusi, JamhuriMedia,Dodoma Serikali imewaonya wamiliki wa Makao ya kulea watoto nchini waliogeuza Makao hayo kujinufaisha kwa misaada mbalimbali inayotolewa hasa ya fedha. Onyo hilo limetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum…

Ubora maabara ya GST yavutia miradi mikubwa kupima sampuli za madini

Kamati yaipongeza kwa kujiongeza Yaweka mikakati ya kufikisha huduma za maabara kikanda Dkt. Kiruswa aitaja kuwa Kitovu cha Utafiti wa Madini Nchini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Dkt. Mussa…

Makatibu siasa na uenezi CCM waaswa kuacha kujiingiza kwenye migogoro

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Makawa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya zote, Mkoani Pwani wameaswa kuacha kujiingiza katika migogoro na kuwa sehemu ya wapiga debe kwa wanachama walioanza kucheza rafu ili kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi…