JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TMDA yatoa elimu ya matumizi sahihi na madhara ya dawa kwa shule za sekondari Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mamlaka ya Dawa na vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imetoa elimu ya namna ya kutumia dawa kwa usahihi na kuepuka matumizi holela ya dawa, ikiwemo kutotumia dawa zinazoweza kuzuia kupata ujauzito kwa wanafunzi na dawa zinazoongeza…

Jeshi la Polisi lawakumbusha wananchi kuyakumbuka makundi maalum

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Jeshi la Polisi limewakumbusha wananchi kushiriki katika maswala ya kijamii ikiwa ni Pamoja na kuyakumbuka makundi maalum ya wahitaji yaliyopo katika jamii inayowazunguka ili kujenga ustawi katika Jamii ya watanzania….

Waziri Mhagama apokea mwongozo wa kitaifa wa ufuatiliaji na tathmini katika taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza ya Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Shughuli za Serikali katika Taasisi…

TRA,wafanyabiashara Kariakoo waafikiana kuhusu masuala ya kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekutana na wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga jijini Dar es Salaam na kuafikiana kiwango cha kodi kwa kundi hilo ambalo limesema lipo tayari kushiriki katika ujenzi wa taifa. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa…

Trump ajisalimisha gerezani, aachiwa kwa dhamana

Donald Trump amejisalimisha huko Georgia kwa tuhuma za kupanga njama ya kutengua matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo wa 2020 katika hatua ya kukamatwa kwa mara ya kwanza kwa rais wa zamani wa Marekani. Trump alilazimika kulipa bondi ya dhamana…

KKKT wamrejesha tena askofu Malasusa

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) , umemchagua kwa kishindo askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Drk Alex Malasusa kuwa mkuu mteule mpya wa KKKT kupokea nafasi ya Askofu Dk Frederick…