JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji wa matela ya mabomba ya mradi wa EACOP

Bodi ya Wakurugenzi  wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (Ewura), imesema kuwa imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa utengenezaji wa matela maalum 300 unaofanywa na kampuni ya Superdoll kwa ajili ya kusafirisha mabomba ya mradi…

Ma-Rc ongezeni kasi kudhibiti mmomonyoko wa maadili, ukatili kwa watoto

 Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Pwani Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewasisitiza Wakuu wa Mikoa nchini kuendelea kuishikilia Ajenda ya kupambana na mmomonyoko wa maadili, vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na…

Madiwani Msalala watoa pongezi kwa Rais Samia kuimarisha sekta ya elimu

Na Mwandishi Wetu Madiwani wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Shinyanga wamemwagiza mkuu wa wilaya hiyo, Mboni Mhita na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mary Mhoha kufikisha salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Ni kutokana na kuongeza…