Category: Habari Mpya
Wataalamu wa manunuzi wahimizwa kuzingatia miongozo ya ununuzi wa vifaa
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Wataalamu wa ununuzi na ugavi Serikalini wamehimizwa kuzingatia miongozo ya Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuepuka manunuzi vifaa vyenye ukomo wa matumizi ambavyo husababisha madhara mbalimbali kwa afya ya binadamu na mazingira. Hayo yamesemwa Agosti 27,…
Tanzania yahimiza mikakati kukuza biashara mtandao
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Tanzania imezitaka taasisi za posta Afrika kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali kwenye shughuli zote ili kuendeleza biashara mtandao na kufukisha huduma zaidi za kifedha kwa jamii. Akifungua mikutano ya kamati mbalimbali za Umoja wa Posta Afrika…
STAMICO yafanya mageuzi, yaongeza mapato kutoka bil.1.3/- hadi bil.61.1/-
Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Dar Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limefanya mageuzi makubwa ambayo yameliwezesha shirika hilo kuongeza mapato kutoka shilingi bilioni 1.3 hadi shilingi bilioni 61.1 sawa na ongezeko la asilimia 4425. Hayo yamebainishwa leo Agosti 28,2023 na…
Muhimbili kuwa kitovu upasuaji wa matundu madogo Afrika Mashariki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo itakuwa kitovu cha upasuaji kwa njia ya matundu madogo katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara kutokana na…
Kingamkono askofu wa nne Dayosisi ya Mpwapwa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Askofu wa nne wa Dayosisi ya Mpwawa Kanisa la Anglikana Luzineth Kingamkono amewekwa wakfu kuongoza Dayosisi ya mpwampwa katika, Ibada iliofanyika Wilayani hapa mkoani Dodoma huku akiaswa kufanya kazi kwa bidii, unyenyekevu na uaminifu na…
Jeshi la Polisi lawahiza wananchi kutoa taarifa za vitendo vya ukatili Simiyu
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi -Simiyu Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu limewahimiza wanachi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu na vitendo vya ukatili Mkoani humo vinavyofanywa na Baadhi ya watu wasio na hofu ya Mungu. Kauli hiyo imetolewa leo Agasti…