Category: Habari Mpya
RC Chalamila amshukuru Rais Samia utekelezaji wa miradi Temeke
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa shukrani hizo leo Agosti 28, 2023 katika ziara yake ya kutembelea na kukagua mradi wa Barabara Nzasa-Kilungule, Ujenzi wa Hospitali ya Ghorofa sita (6) na Ujenzi…
Majiji manne kufungwa kamera za usalama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imedhamiria kuendelea kuboresha Utendaji wa Jeshi la Polisi katika kudhibiti matukio ya uhalifu na makosa ya usalama barabarani kwa kufunga kamera maalumu katika majiji ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Arusha huku lengo likiwa…
Arusha kitovu cha sekta ya Posta barani Afrika
Immaculate Makilika na Faraja Mpina, JamhuriMedia,Arusha Mkoa wa Arusha unatazamiwa kuwa Kitovu cha Wataalamu wa Sekta ya Posta barani Afrika mara baada ya uwepo wa jengo la kisasa la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) litakalozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya…
Wananchi wapewa rai kushiriki wiki ya kitaifa ya ufuatiliaji na tathmini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wananchi wamepewa wito wa kushiriki katika wiki ya Kitaifa ya Ufuatiliaji na Tathmini itakayofanyika Jijini Arusha ambayo itahusisha kutoa elimu itakayowawezesha kutoa taarifa za Ufuatiliaji na Tathmini na Ufuatiliaji wa Miradi mbali mbali ya kimaendeleo…