Category: Habari Mpya
JK kinara utafutaji fedha za za kuimarisha elimu Afrika
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe…
Waziri Jafo azindua mpango uhamaishaji nishati safi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema takriban dola milioni 800 zinapotea duniani kila mwaka kutokana na wanawake kutumia muda mwingi kutafuta kuni badala…
TMA watoa utabiri mwelekeo hali ya hewa msimu wa kipupwe Juni – Agosti 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema katika kipindi cha msimu wa Kipupwe kinachotarajiwa kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu kutakuwa na hali ya baridi ya wastani hadi joto kiasi inatarajiwa…
Balozi Kasike ashiriki maadhimisho Siku ya Afrika
Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Msumbiji ameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Afrika, akiungana na Mabalozi wa nchi nyingine za Afrika waliopo Jijini Maputo kuanzia tarehe 22 hadi 25 Mei, 2024. Maadhimisho hayo yamefanyika chini ya…
Mitambo ya kupima ubora wa barabara kuleta mageuzi – Dk Tulia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia…