Category: Habari Mpya
Waziri Mabula akutana na Mkurugenzi wa Taasisi ya RRI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo yavMakazi Dkt Angeline Mabula amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki na Rasiliamali kutoka Marekani Bw. Patrick Kipalu. Dkt Mabula amekutana na mkurugenzi huyo anayeshughulika na Programu…
TMA yakagua kituo cha kutoa tahadhari za Tsunami Dar
Mwwnyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Kanda ya Mashariki na Kituo cha kutoa tahadhari za TSUNAMI nchini,…
DC Matinyi aeleza mtiririko fedha za Rais Samia zilivyoinga’isha Temeke
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, Mobhare Matinyi, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za miradi ya maendeleo kwa ajili ya wananchi wa wilaya…
Dkt. Yonazi: Global Fund yaimarisha sekta ya afya nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameupongeza na kuushukuru Mfuko wa Dunia (Global Fund) kwa mchango mkubwa unaoutoa katika kuendeleza mapambano dhidi ya magonjwa ya…