Category: Habari Mpya
REA yawaneemesha wananchi kwa kukamilisha kituo cha kupoza umeme Ifakara
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme kilichopo Ifakara (Ifakara Substation) na kuleta neema ya umeme wa uhakika kwa wananchi wa wilaya za Kilombero na Ulanga mkoani Morogoro, ambao walikuwa na…
Kundo afungua mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala la PAPU
Na Faraja Mpina, JamhuriMedia,Arusha NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amefungua Mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaofanyika kwa siku mbili, jijini Arusha. Mkutano huo umeanza Agosti…
PAPU yasisitiza matumizi ya mifumo ya kidijitali
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Nchi wanachama za Umoja wa Posta Afrika (PAPU) zakubaliana kuwa na mifumo ya kidijitali ya kutoa huduma za posta katika nchi zao. Akizungumza leo jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala…
Serikali yaweka mpango wa matumizi ya ardhi uendelezaji na usimamizi Shambarai Burka na Bwawani Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wizara ya Ardhi na OR-Tamisemi zimesaini mkataba wa makubaliano wa uendelezaji na utekelezaji wa mpango wa matumizi ya shamba lenye ukubwa wa ekari 6176.5 lililopo katika wilaya za Arusha na Arumeru mkoani Arusha. Utiaji sahihi…