Category: Habari Mpya
Polisi:Mnaomiliki silaha haramu zisalimisheni
Tanzania miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zilizosaini na kuridhia mikataba, Itifaki, Maazimio na Makubaliano mbalimbali ya kuzuia uzagaaji wa silaha ndogo na nyepesi. Moja ya makubaliano hayo ni yaliyofanyika mwezi Julai 2018 kuhusu udhibiti wa uzagaaji wa…
Rais Samia aanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu, aifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Na Jacquiline Mrisho, JamhuriMedia, MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu ambapo katika mabadiliko hayo, ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya…
Daktari feki akamatwa Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa…
Pwani yaongoza utekelezaji mkataba wa lishe kitaifa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kwa tathmini ya Saba (7) ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Mwaka 2022/2023. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa…