Category: Habari Mpya
PSSSF yajipanga kuendeleza ubora, mafao kulipwa ndani ya siku 30
Na Beatrice Sanga-MAELEZO Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema utaendelea kuimarisha huduma zake kwa wateja ili kuongeza ufanisi na kupunguza urasimu na muda wa malipo kwa wanufaika wa mfuko huo. Hayo yameelezwa leo August 31,…
Sekta ya Posta bado ni huduma muhimu – Waziri Nape
Na Immaculate Makilika –MAELEZO Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Sekta ya Posta ni huduma muhimu barani Afrika inayohitaji kuboreshwa zaidi ili iendeelee kutoa huduma kulingana na mazingira ya sasa. Akizungumza leo jijini…
Rais Dk. Samia azindua tawi la 230 NMB, Kizimkazi Festival yatikisika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 30, amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, Mkoa wa Kusini Unguja, hapa Zanzibar, uzinduzi unaoendelea kupanua mtandao wa matawi ya benki…