Category: Habari Mpya
Shule ya East Africa Dodoma yaanzisha somo la Karate
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Katika kukimarisha afya ya akili na mwili kwa wanafunzi shule ya Awali na Msingi ya East Africa iliyoko Kikuyu jijini Dodoma, imeanzisha somo la mchezo wa karate. Mwalimu mkuu wa shule hiyo Evarist Runiba, amesema hayo…
Umri wa Mtanzania kuishi waongezeka hadi miaka 65
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Umri wa Mtanzania kuishi umeendelea kuongezeka ambapo katika Sensa ya Mwaka 1978 umri wa Mtanzania kuishi ulikuwa miaka 45 wakati wa sensa ya mwaka 2022 umri wa Mtanzania kuishi umefika miaka 65. Mtakwimu Mkuu wa…
Majaliwa amkaribisha Biteko ofisini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 2, 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam na amemuahidi kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake. Pia, Waziri Mkuu ametumia…
Rais Samia aitaka PAPU kutumia mashirika ya ndege ya Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mashirika ya ndege ya Afrika katika usafirishaji wa vifurushi ili kuendelea kuonesha umuhimu wa huduma za posta barani humo. Alisema hayo…
Rc Dar atoa taarifa kuhusu kongamano la mifumo ya chakula Afrika 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 1, 2023 ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari katika Ukumbi wa Mikutano JNICC kuhusu kufanyika kwa Kongamano la mifumo ya Chakula Afrika (AGRF SUMMIT 2023- Tanzania)…