Category: Habari Mpya
Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na mshauri wa mwanamfalme wa Saud Arabia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023. Rais wa Jamhuri ya…
Jela maisha kwa kuwalawiti wanafunzi Tabora
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu Daudi Masanja (28), mkazi wa mtaa wa Masanga, Kata ya Igunga mjini kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kulawiti wanafunzi wawili wanaosoma shule msingi…
Dk Biteko akabidhi ofisi ya Wizara ya Madini kwa Mavunde
Mavunde aainishiwa Vipaumbele vya Wizara ya Madini 2023/24 Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amemkabidhi Ofisi ya Wizara ya Madini kwa Mhe.Anthony Mavunde ili aanze rasmi kazi ya kuiongoza Wizara hiyo. Makabidhiano…
Waziri Silaa ataka ushirikiano Wizara ya Ardhi
Na Rahma Sufiani, SJMC Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry William Silaa amewasili kwa mara ya kwanza ofisi za Wizara hiyo na kusisitiza ushirikiano pamoja na kuzingatia muda wakati wa utekelezaji majukumu ya wizara hiyo….
Mavunde aahidi kuendeleza mageuzi sekta ya madini
#Aipongeza kazi kubwa iliyofanywa na Dkt. Biteko Waziri wa Madini Anthony Mavunde amewahakikishia Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake kuendeleza Mageuzi ya Kimkakati yanayoendelea katika Sekta ya Madini na kuendeleza ushirikiano uliopo ili kuikuza Sekta ya Madini. Ameyasema…