JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania ya tano kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Selimundu duniani

Tanzania imetajwa kuwa nchi ya Tano Kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa selimundu (Sickle Cell) Duniani ambapo Kwa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu Cha Sayansi na Tiba Shirikishi (MUHAS) katika mikoa mitano ambapo zaidi ya wagonjwa 70000 wanapatiwa huduma katika…

Serikali yawataka wananchi kuondoka mabondeni kuepuka mvua za El Nino

Serikali imewatahadharisha wananchi kuacha kujenga na kufanya shughuli za kijamii kwenye maeneo ya bondeni ili kuepukana na athari za mafuriko zinazoweza kutokea na kuwasababishia madhara. Tahadhari hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe….

Majaliwa ashiriki sherehe za uapisho za Rais Mnangagwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 04, 2023 ameshiriki sherehe za uapisho za Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa zilizofanyika katika uwanja wa Harare, Zimbabwe. Mheshimiwa Rais Mteule Mnangagwa ameshinda  uchaguzi  huo kwa kura zaidi ya milioni 2.3 kati…

Tanzania kuiunga mkonpo Saud Arabia EXPO 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO 2030). Ahadi hiyo imeelezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…

Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na mshauri wa mwanamfalme wa Saud Arabia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023. Rais wa Jamhuri ya…