JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bashe anadi fursa zilizoko kwenye kilimo, awakaribisha uwekezaji Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dar Es Salaam Waziri wa Kilimo Hussein Mohamed Bashe amewakaribisha wageni kutoka mataifa mbalimbali kuja kuwekeza katika kilimo nchini Tanzania na kubainisha vipaumbele lukuki vilivyopo katika sekta hiyo.  Majadiliano hayo pia yamehusisha viongozi mbalimbali akiwemo…

Jeshi la Polisi lapongeza NMB kupambana na uhalifu nchini

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi limeipongeza Benki ya NMB kwa namna ambavyo inashiriki katika mapambano dhidi ya uhalifu hapa nchini kwa kutoa elimu na ufadhili wa vipindi katika vyombo vya Habari Tanzania ambapo elimu hiyo…

Mkutano wa AGRF Kuinufaisha Tanzania

Na Alex Kazenga, Jamhuri Media, Dar es Salaam Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (AGRF- Africa Food Systems Summit 2023) unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) kuanzia leo, Septemba 5 hadi 8…

Kero ya maji kijiji cha Mpotora, wanakijiji waiangukia Serikali

*Watembea kilomita tano kutafuta maji Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Lindi Wanakijiji cha wa Mpotora Wilaya ya Kilwa, Kata ya Pande Plot ,wameiomba serikali kuwapatia maji safi na salama. Akizungumza na JAMHURI kwa niaba ya wenzake Selemani Hamza amesema kijiji chao, kimekuwa…