JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za  bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 6 Septemba 2023 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Septemba 2023, bei za rejareja za mafuta …

DC Kibiti:Wazazi waliomtelekeza mtoto mwenye ulemavu wakamatwe

Na Mwamvua Mwinyi JamhuriMedia ,Pwani Mkuu wa Wilaya ya Kibiti,Kanal Joseph Kolombo ameagiza kufuatiliwa na kukamatwa , wazazi waliomtelekeza mtoto wao mwenye ulemavu wa viungo ,Theresia Moses tangu akiwa na miezi sita ,huku wao wakiendelea kula bata. Ameeleza, taarifa zilizotolewa…

Waziri Mavunde aiahidi ushirikiano Kamati ya Kudumu ya Bunge Nishati na Madini

#Zaidi ya Shilingi bilioni 52 zimetolewa na Migodi tangu kutungwa kwa Kanuni za CSR, 2018 – 2022 #GST kujengewa uwezo kufanya tafiti za kina Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameahidi kuipa ushirikiano Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati…

Muhimbili kupandikiza ini 2025

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua…

Serikali kuimarisha ulinzi na usalama

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali iimeendelea kutoa kipaumbele na imejidhatiti katika kuimarisha ulinzi na usalama ili wananchi na wafanyabiashara waendelee kutekeleza shughuli zao za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa jana jijini Dar es salaam na Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Bashe anadi fursa zilizoko kwenye kilimo, awakaribisha uwekezaji Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dar Es Salaam Waziri wa Kilimo Hussein Mohamed Bashe amewakaribisha wageni kutoka mataifa mbalimbali kuja kuwekeza katika kilimo nchini Tanzania na kubainisha vipaumbele lukuki vilivyopo katika sekta hiyo.  Majadiliano hayo pia yamehusisha viongozi mbalimbali akiwemo…