JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania yapata mapokezi makubwa maonesho ya 68 ya Vito Thailand

Naibu Katibu Mkuu Mbibo awataka Wafanyabishara, Wachimbaji kuchangamkia fursa Na Wizara ya Madini- Bangkok Ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya 68 ya Vito na Usonara katika jiji la Bangkok nchini Thailand umewavutia Wafanyabiashara mbalimbali wa madini kutokana na wengi kutumia…

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga mkono kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza…

Mavunde aipongeza STAMICO kwa kupiga hatua na kujitegemea

#Aitaka kuchukua mafanikio kama kichocheo #STAMICO yabainisha mipango yake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kipindi kifupi kutoka kuwa Shirika tegemezi na kuwa Shirika…

Serikali yaimarisha mazingira ya uwekezaji sekta ya mifugo

Serikali ya Tanzania imesema kuwa imeboresha na kuimarisha mazingira ya kiuwekezaji katika sekta ya mifugo kwa kuondoa baadhi ya ushuru, kodi na vikwazo vya kikodi katika biashara ya mifugo na mazao yake . Hayo yamelezwa na Waziri wa Mifugo na…