JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

RC Ayoub apokea kero za wakulima wa mwani Pwanimchangani

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar MKUU wa mkoa wa Kaskazini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amewaomba wananchi wa Shehia za Pwanimchangani na Kandwi wanaojihusisha na kilimo cha Mwani kuendelea kuwa na imani na Serikali yao kwani inalifanyia kazi suala lao la…

Waziri Silaa aanza na eneo la wazi Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameanza kushughulikia migogoro ya matumizi ya ardhi kwa kukagua eneo la wazi lililopo mtaa wa Surungai eneo la Meriwa kwenye kata ya Ipagala mkoani Dodoma…

Wakurugenzi wa Halmashauri watakaoshindwa kutekeleza ujenzi wa miradi ya afya kuchukuliwa hatua

Na: James Mwanamyoto-OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema hatosita kumchukulia hatua Mkurugenzi yeyote wa Halmashauri ambaye atabainika kushindwa kutekeleza kikamilifu ujenzi wa miradi ya miundombinu ya afya…

Mkutano wa AGRF watamatika kwa kishindo, historia yaandikwa

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Viongozi wa Afrika wamekusanyika leo Septemba 08, 2023 Dar es Salaam Tanzania ikiwa ni kilele kama sehemu ya Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika 2023. Jukwaa hilo lililohitimishwa leo mchana limekusanya zaidi…

CP Dk Mussa aagwa rasmi baada ya kumaliza utumishi wake jeshini

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa kamishna wa Kamisheni ya ushirikishwaji Jamii ambae kwa sasa ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Kamishna wa Jeshi la Polisi mstaafu CP…

Watu 389 wakutwa na maambukizi kifua kikuu Tunduru

Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma wilayani humo,imefanikiwa kuwabaini wagonjwa 389 wa kifua kikuu kati ya wahisiwa 7,354 waliofanyiwa uchunguzi wa ugonjwa huo kuanzia mwezi Januari hadi Juni 2023. Mratibu wa kifua kikuu…