Category: Habari Mpya
Idadi ya waliokufa kwa tetemeko Morocco yafikia 2,000
MOROCCO inaomboleza vifo vya zaidi ya watu 2,000 vilivyosababishwa na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Ijumaa usiku, wakati timu za uokoaji zikifanya juhudi kuwatafuta watu waliokwama kwenye vifusi. Wanajeshi na wafanyakazi wa kutoa misaada wameonekana wakipeleka maji na mahitaji mengine…
Waziri Silaa: Tujenge nidhamu ya Wizara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka watumishi wa Wizara yake kuhakikisha wanawahudumia vizuri wananchi ili wajenge imani na serikali. ‘’Lazima tutengeneze ‘despline’ ya wizara kwa kuwahudumia vizuri wananchi, tukumbuke hapa…
Thailand yafungua milango Watanzania kujifunza uongezaji thamani madini
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa miaka 50 yaonesha nia kuwekeza nchini Mbibo aielezea kuwa ni safari yenye mnufaa makubwa kwa Tanzania TIC Wakaribishwa kuanzisha tawi kuchochea shughuli za uongezaji thamani madini Bangkok- Thailand Watanzania wamekaribishwa kujifunza namna ya kuongeza Thamani…
Polisi ajiua kwa kujipiga risasi shingoni Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Askari wa Jeshi la Polisi CPL Petro Nyabucha ambaye pia ni mganga wa Zahanati ya Polisi iliyopo kwenye eneo la kikosi cha kuzuia ghasia (FFU) eneo la Mahenge Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma amejiua kwa…
Waandishi wajengewa ujasiri kupambana na changamoto katika majukumu yao
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari licha ya kuwa watu muhimu katika jamii lakini wamekuwa katika mazingira ambayo siyo mazuri wanapokuwa.wakitekeleza majukumu yao ya kuhabarisha Umma kwani miongoni mwao kupata vitisho wengine kutekwa na wengine kufikishwa…
TNGC kuchochea mabadiliko kwenye sekta ya ardhi nchini
Na Dotto Kwilasa, Jamhurimedia,Dodoma SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Korea imechukua hatua za kukabiliana na changamoto za ardhi kwa kuanzisha kituo cha Ubunifu na mafunzo ya teknolojia na taarifa za kijiografia (TNGC)hali itakayo boresha majukumu ya kupanga,kupima na kimilikisha…