Category: Habari Mpya
‘Serikali haikuruhusu mikutano ya hadhara ili kuvunja sheria’
Serikali imesema kuwa haikuruhusu mikutano ya hadhara ili watu wakavunje sheria, kutukana, kukashifu, kuchambua dini za watu. Hayo yamesemwa na Rais amesema Rais, Samia Suluhu leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya…
OSHA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha,semina hiyo ililenga kutoa uelewa…
Tuendelee kumpa ushirikiano Rais wetu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kumuamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa ya kuendelea kuboresha maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo na ya wilaya ya Ruangwa. “Tujenge imani ya Serikali yetu, tujenge…
Ummy kuanza ziara ya siku tatu Songwe
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anatarajiwa kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Septemba 11-13, 2023 katika Mkoa wa Songwe kukagua hali ya utoaji Huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya…
‘Ukraine imebakiza siku 30 tu za kupambana na Urusi’
Ukraine imesalia na siku zisizozidi 30 za mapigano dhidi ya Urusi kabla ya hali ya hewa kuzuia mashambulizi yake, afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Marekani anasema. Akiongea na BBC Jumapili kupitia kipindi cha Laura Kuenssberg, Jenerali Mark…