JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Chuo cha afya KAM champongeza Rais Samia sekta ya afya

*Chaanza kudahili wanafunzi kozi za afya Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Afya cha KAM College kilichoko Kimara jijini Dar es salaam ambacho kimebobea kwenye mafunzo ya sekta ya afya, kimepongeza juhudi za serikali katika kuwekeza kwenye…

TRA yatoa elimu kwa mara ya kwanza kwa waandishi habari wa JUMIKITA

Na Magrethy Katengu, JamhuriMeedia, Dar es salaam Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewaomba waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kuwa na desturi ya kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia kuwapata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi….

TANROADS kuanza ujenzi daraja la Jangwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha Makadirio…

Wizara ya Ujenzi yaanika vipaumbele nane

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema bajeti itazingatia kufanya matengenezo ya miundombinu…

Wapangaji lipeni kodi kuepusha usumbufu kwa TBA – Waziri Bashungwa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wapangaji wote kuhakikisha kuwa wanalipa kodi za pango kwa wakati ili kuepusha usumbufu kwao na kwa Wakala wa MajengoTanzania (TBA). Waziri Bashungwa aliyasema hayo juzi Bungeni Jijini Dodoma wakati…

Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi

Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni jijini Dodoma…