JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watoto zaidi ya laki 4 kupata chanjo ya Polio Songwe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa zaidi ya watoto laki Nne wanatarajia kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio katika Mkoa wa Songwe. Waziri Ummy ameyasema hayo Septemba 11, 2023 wakati akianza ziara yake ya kukagua huduma zinazotolewa katika…

Vijana wahimizwa kutokubali kutumika kuvunja amani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Vijana nchini wamehimizwa kuepuka kutumika na baadhi ya watu wasio na nia njema ili kuvunja Amani ya Nchi hatua itakayosababisha maendeleo ya Taifa kuzorota. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,…

Basi la Abood lagonga Noah na kuua wawili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamtafuta dereva wa gari namba T904 DKY Kampuni ya Abood kwa kosa la kugonga gari aina ya Noah lenye namba za usajili T828 DNB na  kusababisha ajali  iliyouwa watu wawili na wengine wawili kujeruhiwa….

Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yanufaika na mafunzo kutoka Marekani

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo Wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo yatatolewa kwa muda wa siku mbili na shirika…