Category: Habari Mpya
RC Chalamila ashuhudia utiaji saini mikataba ya ujenzi ya barabara TARURA Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya kazi za ujenzi na matengenezo ya Barabara TARURA Mkoa wa Dar es Salaam yenye thamani ya Tshs….
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA Dar es Salaam.Mkutano mkuu wa 48 wa Shirikisho la wafuga nyuki duniani (APIMONDIA) umeipa nafasi Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la Kongresi ya 50 ya…
Tanzania yakanusha madai ya kutoroshwa kwa wanyamapori kwenda UAE
Mdhibiti wa viwanja vya ndege nchini Tanzania amekanusha kuruhusu utoroshwaji wa wanyamapori kutoka mbuga ya kaskazini hadi nchi za Mashariki ya Kati. Inafuatia madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wanyama pori hao walikuwa wakisafirishwa kwa ndege za mizigo kutoka Loliondo,…
Watu 10,000 wamepotea baada ya mafuriko makubwa nchini Libya – IFRC
Takriban watu 10,000 wanakisiwa kupotea kufuatia mafuriko makubwa nchini Libya kulingana na afisa kutoka Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC). “Tunaweza kuthibitisha kutoka kwa vyanzo vyetu huru vya habari kwamba idadi ya watu waliopotea…
Ndumbaro azindua bodi, azipa jukumu la kuongeza mapato
Na Eleuteri Mangi WUSM, Dar es salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amezindua Bodi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Bodi ya Bodi ya Filamu Tanzania na kuwataka Wajumbe wa Bodi hizo kuhakikisha sekta ya Sanaa…
Askari wa TAWA wamuokoa mtoto wa tembo aliyetumbukia shimoni
Na Beatus Maganja -TAWA Askari wahifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), jana walifanikiwa kumuokoa mtoto wa tembo anayekadiriwa kuwa na umri wa wiki nne (4) aliyezama katika shimo lenye matope katika Kijiji cha Kwamsanja kilichopo kata ya…