JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Jafo, Balozi wa Japan wateta ushirikiano katika hifadhi ya mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo…

Mchengerwa: Watanzania tuilinde na kuitunza miradi ya afya na elimu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa watanzania kuilinda na kuitunza miradi ya miundombinu ya afya na elimu iliyojengwa na Serikali ili inufaishe kikazi cha sasa na…

Mavunde:Sekta ya madini kufungamanisha sekta nyingine kiuchumi kupitia taarifa za miamba

#Balozi wa Tanzania nchini Brazil kutangaza fursa Sekta ya Madini nchini humo Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema kuwa Sekta ya Madini inatarajiwa kuwa chanzo cha taarifa sahihi za Miamba itakayosaidia kuendeleza sekta zingine ikiwemo ya Kilimo na Viwanda na…

AICC yapata mafanikio makubwa baada ya Rais Samia kuifungua nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), kimepata mafanikio makubwa baada ya Rais Samia Sulubu Hassan kuifungua nchi. Hayo yamebainishw leo Septemba 14, 2023 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa vituo vya AICC na…

Silaa ahimiza wakuu wa mikoa kutekeleza maamuzi ya Baraza la Mawaziri

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nanyumbu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amehimiza wakuu wa mikoa nchini kuhakikisha wanatekeleza maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusiana na migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 ‘’Niwaombe wakuu wa…