Category: Habari Mpya
Uamuzi wa Rais Samia wawakosha wakazi wa Nanyamba
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wakazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya Mtwara Vijijini wamefurahishwa na uamuzi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakuitaka Bandari ya Mtwara kuanza kusafirisha korosho. Akizungumza leo wilayani humo katika mahojiano maalum na Afisa wa…
Rais Samia ‘aiponya’ Msalala
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama HATUA ya Serikali Kuu kuipatia Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Shinyanga zaidi ya Tsh. 4.5 Bilioni, imewezesha halmashauri hiyo kukamilisha majengo yake. Halmashauri hiyo imepanga kuhamia kwenye majengo yake yaliyopo Izengabatogilwe, Kahama mwanzoni mwa Oktoba,…
Pwani yazindua mfumo wa M MAMA utakaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto mchanga
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani, umezindua mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa wajawazito waliojifungua na watoto wachanga (M MAMA)katika kituo cha kuratibu mawasiliano ya rufaa hospital ya mkoa Tumbi, Pwani. Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mgeni…
Dk Mollel akunwa na maboresho ya huduma MSD
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema ameridhishwa na mabadiliko yanayofanywa na Bohari ya Dawa (MSD) hususani katika utendaji na utekelezaji wa mikataba ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba nchini. Dk. Mollel amesema hayo…
Watafiti wasisitizwa ushiriki jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia nchi
KAIMU Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi, Dkt. Ladislaus Chang’a amewasisitiza watafiti mbalimbali nchini kutumia fursa zilizopo katika Jopo hilo…
CCBRT yawapima afya wafanyakazi NMB, wateja Dar
Na Mwandishi Wetu Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya CCBRT wameishauri jamii kujenga tabia ya kupima afya mara kwa mara. Hayo yamebainishwa na Dk. Gaspa Shayo wakati zoezi la kupima afya za wafanyakazi na wateja wa Benki ya NMB likilofanyika Makao…