Category: Habari Mpya
Ruangwa wajivunia Rais Samia
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi wameonesha kupongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujio wake katika Wilaya hiyo umewapa faraja. Wakazi hao wakizungumza katika nyakati…
RC Chalamila: Usafi Dar ni ajenda ya kudumu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani katika viwanja vya Zakhiem Mbagala Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. RC Chalamila…
Chalamila kula sahani moja na vinara wa biashara za magendo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameonyesha kutofurahishwa na vinara wa biashara za magendo ambao hupitisha bidhaa mbalimbali katika bandari bubu pasipo kulipa kodi ambapo amesema hali hiyo haivumiliki…
Polisi yatoa onyo wanaojichukulia sheria mkononi
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi limepewa jukumu la kulinda maisha ya watu na mali zao ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu hilo ambalo limepata…
Serikali kutumia miezi 18 kumaliza adha ya umeme Masasi
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo. Akizungumza na wananchi leo katika Uwanja…