JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DCEA Kanda ya Kaskazini yateketeza gunia 21 za bangi kavu Arumeru

Na Prisca Libaga, JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Arumeru pamoja na Taasisi muhimu zinazohusika wakati wa zoezi la uteketezaji wa vielelezo vya…

‘Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi, matengenezo ya barabara’

Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi…

Gavana Bwanku apokea miche ya miti 500 kutoka TFS, adhamiria Katerero kuwa kijani

TFS inamuunga mkono vyema Rais Samia kulinda mazingira kupitia upandaji miti. Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku leo Jumatano Mei 29, 2024 amepokea jumla ya miche ya miti 500 kutoka kwa Wakala…

Wizara ya Ujenzi yaomba bajeti ya trilioni 1.77

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasilisha makadirio ya bajeti ya shilingi trilioni 1.77 kwa ajili ya utekelezaji vipaumbele tisa vyenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani, ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Amesema…