JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TIRA: Ulipaji mafao ya bima umeimarika kwa asilimia 95

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa kipindi cha miaka mitano, sekta ya bima imekuwa kwa wastani wa asilimia 12.8 kwa mwaka huku mauzi mauzo ghafi ya bima yameongezeka kutoka Sh bilioni 691.9 mwaka 2018 hadi kufikia trilion 1.2…

Mabewa ya SGR kukamilika kwa wakati Korea

Na. Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shaaban, ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni, na Treni ya mwendokasi vinavyotengenezwa na kampuni za Hyundai Rotem na…

DC Kibaha acharuka wafanyabiashara kuuza chakula kwenye mazingira

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Simon John amekemea vikali suala la wafanyabishara kuuza vyakula hasa vilivyopikwa kwenye mazingira machafu alipowaongoza wananchi wa Kibaha kufanya zoezi la maadhimisho ya usafishaji mwishoni mwa wiki kwenye soko…

EWURA yafungia vituo vitatu vya mafuta kwa miezi sita kwa kuficha mafuta

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo 3 vya uuzaji mafuta kwa muda wa miezi sita Camel Oil- Gairo Petrol Station chenye leseni namba PRL 2019-164,PETCOM-Mbalizi Petrol Station chenye Lessen namba…

Kairuki Hospital Green IVF yaleta tabasamu kwa wasiopata watoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kituo cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna bora ya upandikizaji mimba. Mafunzo hayo yametolewa leo kwenye kituo hicho, Bunju A Mianzini jijini Dar es…

Ruangwa wajivunia Rais Samia

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi wameonesha kupongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujio wake katika Wilaya hiyo umewapa faraja. Wakazi hao wakizungumza katika nyakati…