JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bandari ya Kilwa kuchochea uchumi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Bandari ya Kilwa iliyopo mkoani Lindi imekua ikitumika zaidi kwa shughuli za utalii na kwa kiasi kidogo shughuli za uvuvi. Kwa kuwa mkakati wa Serikali ni kukuza sekta za uvuvi na utalii nchini, imeanza kutekeleza…

Upasuaji wa kwanza tundu dogo moja wafanyika Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kifua kwa mgonjwa ili kuondoa uvimbe kwenye pafu kutumia tundu dogo moja uliowashirikisha watalaamu wazalendo ukiongozwa na Bingwa wa Upasuaji Kifua Duniani na mgunduzi wa…

NMB yashinda kwa mara nyingine tuzo ya ufadhili wa wajasiriamali Afrika

Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake wezeshi na ufadhili wake wa kuwaendeleza wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini wakati wa mkutano wa jukwaa hilo uliofanyika September 14…

Rais Samia katika ziara Wilaya Ruangwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023. Rais wa…