JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia akiwa katika zira mkoani Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri…

Naibu Waziri Mkuu aielekeza REA kutumia muda mwingi vijijini

Na Veronica Simba – REA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko ameiagiza menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumia muda mwingi zaidi wa kazi vijijini na muda mchache ofisini ili waendelee kusimamia kwa ufanisi utekelezaji…

Wanawake watakiwa kuwafichua wanaotumia silaha kinyume cha sheria

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Eva Stesheni amewataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya silaha zinazozagaa mitaani na kutumika kinyume na taratibu ili kuweiweka jamii salama. Ameeleza hayo wakati akitoa…

DRC Kongo kujifunza uongezaji thamani madini Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi nchini Tanzania kujifunza Uongezaji Thamani wa Madini ya Vito katika Kituo cha…

Koka: Shule ziandae wanafunzi katika ushindani kwenye soko la kitaifa na kimataifa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini Silvestry Koka amezitaka, Shule za Msingi kuandaa wanafunzi ambao watashindana kwenye soko la kitaifa na kimataifa kwa faida ya Maisha yao baadae na kuzingatia utamaduni wa Kitanzania. Aidha amewaasa wazazi…