JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa : Tanzania kuwa wazalishaji wakubwa nishati

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023  amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na…

Prof. Ndalichako: Ajira 11,315 kuzalishwa na kiwanda cha sukari cha Mkulazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri kitachangia ongezeko la ajira kwa watanzania kwani kinatarajiwa kutoa fursa za ajira…

Madini Vision 2030 kutangazwa Indonesia

Ushirikiano Tanzania, Indonesia waimarishwa Madini ya Kimkakati kupewa kipaumbele Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri Yogo Jatmiko amesisitiza kushirikiana na Tanzania katika kutangaza Mwelekeo Mpya wa Wizara wa VISION 2030: Madini ni Maisha na Utajiri ili kutangaza fursa mbalimbali…

Mpango: Ushirikiano unahitajika ili kuitekeleza vyema kampeni ya uwekezaji Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni…

Waziri Mhagama: Tuwalinde watoto dunia imebadilika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Ruvuma Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa  kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya  vitendo hivyo vinavyosababisha madhara makubwa kwa watoto. …