JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia: Serikali imetenga hekta 60,000 kwa kilimo cha umwagiliaji mpunga Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Serikali imetenga eneo la ukubwa wa hekta 60,000 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan…

KOICA yaonesha nia ya kusaidia Mfuko wa Afya Zanzibar

Na. Saidina Msangi, WF, Seoul Korea Kusini Tanzania pamoja na mambo mengine imeliomba Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) kusaidia Mfuko wa Afya wa Pamoja (Health Basket Fund) wa Serikali ya Mapinduzi-Zanzibar ili kuboresha huduma za Afya kwa…

Serikali, wadau waimarisha ushirikiano utoaji huduma ya afya ya akili

Na WMJJWM, JamhuriMedia, Arusha Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeimarisha uratibu na ushirikiano katika kutekeleza shughuli za utoaji wa huduma ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia (MHPSS) nchini. Hayo yamesemwa na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii…

Huduma za CT Scan kuwanufaisha wananchi wa Lindi na nchi jirani

Na Mwandishi Wetu-WAF , JamhuriMedia, Mtwara Huduma za CT-Scan katika Mkoa wa Lindi zinakwenda kupunguza adha ya wananchi kusafiri kwa umbari mrefu kufuata huduma hizo Mikoa ya jirani. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel kwa niaba…

Tume yatangaza matokeo Jimbo la Mbarali na kata sita za Tanzania Bara

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 44,334 kati ya kura 56,095 halali zilizopigwa kwenye…

Majaliwa : Tanzania kuwa wazalishaji wakubwa nishati

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023  amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na…