Category: Habari Mpya
Waziri Mkuu amtumbua DED Uvinza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kfuatia maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa ya kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Zainab Mbunda na Mwekahazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga, Waziri…
SBL yazindua Tamashala Serengeti Oktoba 2023
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia Bia yake ya Serengeti Lite imezindua Tamasha la Serengeti Oktoba litakalofanyika Oktoba 21,mwaka huu Ufukwe wa Coco, Dar es Salaam. Meneja wa Bia ya Serengeti Lite,…
Madiwani wajipongeza kuvuka malengo ukusanyaji mapato Tarime
Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya Tarime wamejipongeza kuvuka lengo ukusanyaji wa mapato ya ndani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika kikao cha baraza la Madiwani walisema wanatakiwa kujipongeza kwa kuvuka lengo kwa asilimia 116. Makisio ya ukusanyaji…
Tanzania yang’ara kwenye viwanda
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia amefungua kiwanda cha vifaa vya ujenzi (Sapphire Float Glass Tanzania), chenye thamani ya dola za Marekani milioni 311. Akizungumza wakati anafungua kiwanda hicho leo Mkuranga,…
Wananchi wahimizwa kuchangamkia fursa ya makaa ya mawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati…
Bashungwa: Rais Samia yupo ‘serious’ na ujenzi wa barabara nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini unafanyika kwa umakini na viwango vya ubora chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Bashungwa…