JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Zaidi ya bilioni 1.2/- kukamilisha majengo ya elimu Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya Shilingi 1,261,950,000.00 zinatarajia kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 22,Ofisi 1 ya walimu,mabweni 3 na nyumba 4 za walimu zenye uwezo wa kuweka familia 8 zinazoendelea kujengwa kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha ili…

Kapinga: Desemba 2023 vijiji vyote 758 Mtwara vitakuwa na umeme

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka…

Njooni muwekeze Tanzania Kisiwa cha amani – Othman

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imetoa wito kwa washiriki wa Kongamano la Nishati wakiwemo Mawaziri, Watunga Sera, Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma na Binafsi, Wafanyabiashara na Viongozi mbalimbali wa Makampuni kutoka ndani na Nje ya Tanzania walioshiriki Kongamano la…

RC Chalamila afanya ziara ya kukagua ufanisi wa uzalishaji maji DAWASA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 21, 2023 amefanya ziara ya kukagua ufanisi wa uzalishaji wa maji Wilaya ya Ubungo na Kinondoni jukumu ambalo linatekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na…

Serikali kuendelea kuwajengea uwezo wataalam wake

Na WMJJWM- Mwanza Serikali imeahidi kuendelea kuwajengea uwezo wataalam wake ili waweze kuzingatia uwiano wa kijinsia na ujumuishi jamii katika huduma za ustawi wa jamii. Hayo yamesemwa na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Tullo Masanja, wakati akifunga mafunzo ya…

Wadau wakutana kujadili mpango kazi wa uwekezaji wa miundombinu ya hali ya hewa nchini

Na Mwandishi Wetu,JanburiMedia Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Hali ya Hewa ya Denmark (DMI) kama Mshauri na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kama Taasisi ya kusimamia Utekelezaji wa…