Category: Habari Mpya
Mwandishi wa JAMHURI ang’ara tuzo za TMDA
Na Mwandishi wetu Jamhuri Media Dar es Salaam Antony Mayunga ambaye nimwandishi wa habari wa gazeti la JAMHURI ameshinda tuzo ya hamasa kwa waandishi wa habari wanaoandika habari kuhusu, utoaji wa elimu kwa jamii juu ya udhibiti wa ubora usalama…
Mamlaka za Udhibiti Mipakani zaonywa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais , Muungano na Mazingira,imezielekeza Mamlaka za udhibiti zilizopo kwenye maeneo ya mipaka mbalimbali nchini kuhakikisha shehena yoyote ya taka hatarishi inayosafirishwa nje ya nchi,inafuata masharti…
Wanafunzi Shule ya Msingi Islamic Modern waiomba Serikali kuongeza nguvu ujenzi wa maabara
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuiMedia, Pwani Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chalinze Islamic Modern, Bagamoyo mkoani Pwani, meiomba Serikali kuelekeza nguvu katika ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi kuanzia elimu ya msingi ili kuwapa uelewa wa masomo ya sayansi kwa vitendo…
Chuo Kikuu Huria ni mkombozi wa walalahoi -Waziri Simbachawane
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali imesema inatambua na kuthamini mchango wa Chuo Kikuu huria nchini katika kuendeleza elimu kwa walala hoi, wafanyakazi ambao hawana elimu ya juu kutokana na kukosa muda wa ziada na kuahidi kushughulikia changamoto zote zinazokikabili…
DC Rufiji : TEMESA ifanyekazi kwa uaminifu na ufanisi kuondoa malalamiko
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali Mkoani Pwani ,imeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA ) kufanya majukumu yake kwa uaminifu na kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali ili kuondoa malalamiko kwa wateja . Akimwakilisha mkuu wa Mkoa wa Pwani,…