Category: Habari Mpya
Bodi ya Mfuko wa Barabara yakusanya mapato kwa asilimia 77
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi…
Wanafunzi 188, 787 wachaguliwa kidato cha tano na vyuo vikuu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wanafunzi 188,787 waliokidhi vigezo wakiwemo wanafunzi wenye mahitaji maalum 812 wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na kidato cha Tano na vyuo vya kati nchini kwa mwaka 2024. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali,…
Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024.
Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika…
Wabunge wataka bajeti ya ujenzi ipite, walilia iongezwe fedha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa wizara hiyo. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana aliwasilisha bajeti ya Wizara hiyo…
Barabara za Kivule, Mpiji Magoe, Bonyokwa zatengewa fungu
Wizara ya Ujenzi katika mwaka wa fedha 2024/25, imetenga kiasi cha Sh bilioni 9.7 kwa ajili ya mradi wa kupunguza msongamano barabara za Dar es Salaam. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/25…
Serikali yatoa bilioni 3.3 kujenga ofisi ya halmashauri Mbinga
Na Albano Midelo,Mbinga SERIKALI imetoa shilingi bilioni 3.3 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Joseph Rwiza wakati anatoa taarifa ya mradi huo kwa…