Category: Habari Mpya
Waziri Mkuu akaribisha wawekezaji kutoka China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa kuna zaidi…
Dar yapatiwa mafunzo ya kukabiliana na athari za El Nino
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Viongozi na wataalam wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Septemba 25, 2023 wameanza mafunzo ya siku mbili ya kujiweka sawa kukabiliana na athari zinazo weza kutokea endapo mvua kubwa za El-Nino zitanyesha siku za hivi…
Kyogo awafunda maofisa wanafunzi awapata mbinu ya kupunguza malalamiko katika jamii
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi – Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii Dawati la Ushirikishwaji wa jamii Makao Makuu ya Jeshi la Polisi imetoa mafunzo kwa kundi la maofisa na Wakaguzi Wasaidizi wa…
Tanzania kunufaika na uwekezaji eneo la Sinotan Industrial Park
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaSerikali kupitia Wizara ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji kuhakikisha wanaendelea kuweka mazingira mazuri ya kufanyabiashara na uwekezaji ili kusaidia Tanzania kukua kiuchumi. Kuhusu uwekezaji katika eneo la Sinotan amesema wanatarajia kuona uwekezaji huo utakuwa na faida…
TARURA Morogoro yaendelea kuziboresha barabara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Manispaa ya Morogoro inaendelea na matengenezo ya barabara ili wananchi waweze kusafiri kwa urahisi. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Morogoro Mhandisi Mohamed Muanda alipokuwa…