JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NDC yajivunia mafanikio yake ndani ya mwaka mmoja

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC)limesema ndani ya kipindi cha mwaka mmoja linajivunia maendeleo yake kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi ambayo imekuwa ikigusa sekta muhimu za kilimo, viwanda, madini, nishati pamoja na miundombinu ya…

Tutaleta umeme vijijini – Dk Biteko

Lilian Lundo na Veronica Simba Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema shauku ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona kila Mtanzania anapata umeme bila kujali aina ya nyumba…

Serikali kutumia muundo wa NMB umiliki wa mashirika ya umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kutokana na mafanikio makubwa iliyonayo Benki ya NMB, Serikali imesema inapanga kuutumia muundo wa umiliki wake kuchagiza tija katika kuyaendesha mashirika ya umma ili yawe na faida stahiki kwa taifa. Hiyo ni kwa mujibu wa Msajili…

Uwekezaji NSSF waongezeka kwa asilimia 111 na kufikia trilioni 7.15/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Thamani ya uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imeongezeka kwa asilimia 111 kutoka Sh trilioni 3.4 Machi 2021 hadi kufikia Sh trilioni 7.15 Juni 30 mwaka 2023. Kwa mujibu wa mfuko huo ongezeko la…

Waziri Mkuu akaribisha wawekezaji kutoka China

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa  kuna zaidi…