JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa: Viongozi wa dini tushirikiane kupiga vita dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu ya mbalimbali ya dini nchini waendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya . “Tushirikiane kupambana na biashara na matumizi ya dawa…

TARURA kuunganisha Mkoa wa Iringa na Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kazi ya kuunganisha mkoa wa Morogoro na Iringa kupitia Wilaya ya Kilolo baada ya kufungua Barabara ya Mhanga–Mgeta yenye urefu wa kilomita 17.5 ili kuwezesha wananchi…

DC Nzega: Sitamvumilia atakaye hujumu mradi wa usambazaji vyandarua vya Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MKUU wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai, amesema atakula sahani moja na anayehujumu vyandarua vya serikali. Amesema iwapo atabaini yupo anauza au kufugia kuku kwa kisingizia kuwa vinapunguza nguvu za kiume hatamvumilia. Akizungumza jana mkoani Tabora,…

Serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali mambo mazuri

Na WMJJWM, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ‘NGOs’ ili kutekeleza majukumu yake na mchango wake kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy…

Waitaka Serikali kurejea makubaliano ya hatimiliki ya somo la dini ya kiislamu

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Jumuiya na Taasisi za Kislaam Tanzania Islamic Education Panel, imetaka Serikali kuepuka hujuma na uvunjifu wa katiba unaofanywa na baadhi ya watendaji wake wachache katika suala la mitaala. Akizungumza na wanahabari Amir Jumuiya na Taasisi za…

NMB yatoa vifaa vya mil. 40/- kwa shule, zahanati, Hospitali Mafia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafia BENKI ya NMB, imekabidhi misaada mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 40 kwa Hospitali ya Wilaya ya Mafia, zahanati tano na shule moja ya sekondari wilayani humo, ikiwa ni sehemu ya Programu ya Uwekezaji kwa Jamii…