JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dar es Salaam yaongoza ugonjwa kichaa cha mbwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma , Morogoro na Arusha. Jumla ya dozi…

Maofisa kutoka TANAPA wapata mafunzo ya ushirikishwaji wa jamii

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Arusha Maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamepatiwa mafunzo kutoka Kamisheni ya Polisi Jamii Dawati la Ushirikishwaji Jamii ambayo yamelenga kuwajengea uwezo wa namna bora ya ushirikishwaji jamii. Akitoa mafunzo hayo jijini…

GST yaendelea na tafiti za madini muhimu na mkakati

Dkt. Massawe ametoa wito kwa wadau kuitumia GST katika Tafiti za Madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya utafiti wa madini muhimu na madini mkakati (critical and strategic minerals) katika Wilaya…

Kampuni ya Franone Mining and Gems Ltd yakaribisha wadau kujionea upekee wa madini ya Tanzanite

Na Mwandishi Wetu, JamhutiMedia, Geita Kampuni ya Franone Mining and Gems Ltd inayojihusisha na uchimbaji wa kati wa madini ya Tanzanite na Spinel kwenye Sekta ya Madini imekaribisha wadau kujionea upekee wa madini hayo na hasa madini ya Tanzanite yanayochimbwa…

Mchengerwa, Masauni waanza utekelezaji wa agizo la Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wamekutana katika Kikao Maalum lengo ni kujadili utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Mpango mgeni maalum mkutano 52 wa Jumuiya ya Waislam Waahamadiyya Tanzania Oktoba Mosi

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amealikwa kuwa mgeni maalum kwenye mkutano wa 52 Jumuiya ya Waislam Waahamadiyya utakaofanyika tarehe 29 Septemba mpaka Oktoba Mosi, mwaka huu katika .kijiji cha Kitonga Msongola jijini Dar es Salaam….