Category: Habari Mpya
Njia ya matundu kutumika upandikizaji figo Mloganzila
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila itafanya huduma ya kibingwa na Bobezi ya Upandikizaji figo…
EWURA yafungia vituo vingine vya mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaEWURA imevifungia vituo vingine viwili vya mafuta kwa kosa la kuhodhi mafuta, kati ya mwezi Julai na Agosti 2023, Vituo hivyo ni Rashal Petroleum Ltd-Mlimba, Mkoa wa Morogoro na Kimashuku Investment Co. Ltd-Babati, Mkoa wa Manyara. Akizungumza…
Mwandishi Mathias Canal achangia mil.4/- shule ya msingi Kiomboi Bomano wilayani Iramba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mwandishi wa habari Mathias Canal amechangia madawati 30 yenye thamani ya shilingi 2,100,000, na vitakasa mikono 20 vyenye thamani ya shilingi 1,400,000. Ametoa mchango huo leo Septemba 29, 2023 wakati akizungumza kwenye mahafali ya 60…
Wanawake watakiwa kuungana na kushikama kufikia usawa wa kijinsia
Na WMJJWM, JamhuriMedia, Geita Wanawake nchini wametakiwa kuungana na kushikamana Imara zaidi ili kufikia malengo ya ajenda ya maendeleo ya wanawake hasa usawa wa kijinsia. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito…
Watatu wafariki kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji Tunduru
Na Steven Augustino,JamhuriMedia,Tunduru WATU watatu wakazi wa vijiji vya Matekwe,Wilaya ya Nachingwea,mkoani Lindi na Tinginya Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma,wamefariki dunia katika mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyozuka katika maeneo hayo. Kufutia hali hiyo diwani wa Kata ya Tinginya…